Saturday, September 14, 2019

DKT. NDUMBARO AMUELEKEZA DED SENGEREMA KUMFUNGULIA MASHTAKA BW. BONIVENTURA BWIRE ALIYEKUWA MTUMISHI KWA KUJIPATIA FEDHA KWA UDANGANYIFU



Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema (hawapo pichani) wakati wa ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao wilayani humo.

Baadhi ya watumishi wa umma wilayani Sengerema wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao wilayani humo.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akisikiliza maswali ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema (hawapo pichani) wakati wa ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao wilayani humo.

Mkurugezi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Bw. Ibrahimu Mahumi akitoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema (hawapo pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya Katibu Mkuu Utumishi ya kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa umma wilayani humo.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro  akisoma moja ya nyaraka za aliyekuwa mtumishi wa umma,  Bw. Boniventura Bwire ambaye alifanya udanganyifu ili kujipatia fedha za Serikali kinyume na taratibu za kiutumishi.

No comments:

Post a Comment