Friday, May 3, 2019

WAAJIRI NCHINI WATAKIWA KUWAWEZESHA MAKATIBU MUHTASI KUSHIRIKI MIKUTANO YA MWAKA KWA LENGO LA KUINUA TAALUMA ZAO KWA MAENDELEO YA TAIFA.



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb), akizungumza na Makatibu Muhtasi (hawapo pichani) alipokuwa akifungua Mkutano wa mwaka wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA) jijini Arusha.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb), akisisitiza jambo kwa Makatibu Muhtasi (hawapo pichani) alipokuwa akifungua Mkutano wa mwaka wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA) jijini Arusha.

Baadhi ya Makatibu Muhtasi wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati akifungua Mkutano wa mwaka wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA) jijini Arusha.

Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA), Bi. Zuhura Maganga akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika kuzungumza na Makatibu Muhtasi wakati wa Mkutano wa mwaka wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA) jijini Arusha.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb), akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA), Bi. Zuhura Maganga baada ya kufungua Mkutano wa mwaka wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA) jijini Arusha.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb), akimkabidhi zawadi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Zanzibar, Bw. Seif Shaban Mwinyi ikiwa ni ishara ya kudumisha muungano katika masuala ya utumishi wa umma na utawala bora.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb), akifurahia jambo na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Zanzibar, Bw. Seif Shaban Mwinyi na Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA), Bi. Zuhura Maganga.

No comments:

Post a Comment