Wednesday, May 1, 2019

OFISI YA RAIS-UTUMISHI YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI JIJINI DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge akizungumza na wafanyakazi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi yaliyofanyika kimkoa katika uwanja wa Jamhuri  jijini Dodoma.

Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na wafanyakazi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi yaliyofanyika kimkoa katika uwanja wa Jamhuri  jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment