Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi
wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza jambo na
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Kamishna wa Polisi, Diwani Athumani kabla ya
kuzungumza na watumishi wa TAKUKURU kwa lengo la kuhimiza mapambano dhidi ya
rushwa wakati wa ziara yake ya
kikazi katika ofisi hizo jijini Dar es Salaam
|
No comments:
Post a Comment