Wednesday, January 16, 2019

WAAJIRI WATAKAOSHINDWA KUWASILISHA VIELELEZO VYA RUFAA ZILIZOKATWA NA WATUMISHI WA UMMA KUCHUKULIWA HATUA ZA KINIDHAMU


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma (hawapo pichani) alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Tume hiyo Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam  kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji.

Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Richard Odongo akieleza majukumu ya Tume ya Utumishi wa Umma kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) wakati wa kikao kazi cha Naibu Waziri huyo na watumishi wa Tume chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika Makao Makuu ya Tume hiyo yaliyopo Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) (hayupo pichani)  wakati wa kikao kazi cha Naibu Waziri huyo na watumishi hao cha kuhimiza uwajibikaji  kilichofanyika Makao Makuu ya Tume hiyo yaliyopo jijini Dar es Salaam.

Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Richard Odongo akifafanua jambo kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Tume ya Utumishi wa Umma, wakati wa kikao kazi cha Naibu Waziri huyo na watumishi wa Tume chenye lengo la  kuhimiza uwajibikaji  kilichofanyika Makao Makuu ya Tume hiyo yaliyopo Ubungo Plaza  jijini Dar es Salaam.


Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Mstaafu, Dkt. Steven Bwana, akifafanua majukumu ya bodi yake kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) wakati wa kikao kazi na Naibu Waziri huyo na watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji  kilichofanyika Makao Makuu ya Tume hiyo yaliyopo Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Richard Odongo akielezea mchakato wa kushughulikia rufaa kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) aipotembelea moja ya ofisi zinazofanyia kazi rufaa zinazowasiliswa Tume ya Utumishi wa Umma. 

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Tume ya Utumishi wa Umma, mara baada ya kumalizika kikao kazi cha Naibu Waziri huyo na watumishi  wa Tume hiyo cha kuhimiza uwajibikaji  kilichofanyika Makao Makuu ya Tume hiyo Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

1 comment:

  1. Rufaa hazishughulikiwi kwa wakati, hivyo kuwawezesha waajiri kuendelea kuwanyanyasa watumishi ambao hawakulizika na maamuzi yao na pia kucheleweshwa huko kunawapa mwanya waajiri kubuni tuhuma nyingine ikiwa ni kinga kwao kutokuwasilisha vielelezo. Mfano: Rufaa T. NA. PSC/LGSD/OKTOBA,2017/34 INA MWAKA NA MIEZI 4 SASA licha ya kutolewa siku 14 mwezi oktoba, 2017.

    ReplyDelete