Friday, May 11, 2018

WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUZINGATIA KWA VITENDO TAMKO LA AHADI YA UADILIFU ILI KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KIKAMILIFU





Mkurugenzi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, Bw. Mathew Kirama akizungumza na watumishi wa Idara yake kabla ya kuendesha zoezi la kiapo cha ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa Idara yake.

Watumishi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora wakitoa Tamko la Ahadi ya Uadilifu mbele ya Mkurugenzi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, Bw. Mathew Kirama

Mkurugenzi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, Bw. Mathew Kirama akimkabidhi Afisa Utumishi Mkuu Bi. Felister Shuli, nakala ya Tamko la Ahadi ya Uadilifu kwa Watumishi wa Umma, baada ya Mtumishi huyo kutoa Tamko la Kiapo cha Uadilifu. 

No comments:

Post a Comment