Thursday, May 10, 2018

SERIKALI YAWATAKA WARATIBU WA MASUALA YA VVU, UKIMWI NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA (MSY) MAHALA PA KAZI KUTEKELEZA WAJIBU WAO KWA KUZINGATIA WELEDI



Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Dorothy Mwaluko akifungua kikao kazi cha siku mbili cha Waratibu wa VVU, UKIMWI na Magonjwa Yasiyoambukizwa (MSY) mahala pa kazi kutoka katika wizara mbalimbali nchini mjini Morogoro.


Baadhi ya Waratibu wanaosimamia masuala ya VVU, UKIMWI na Magonjwa Yasiyoambukizwa (MSY) katika taasisi za umma wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Dorothy Mwaluko (hayupo pichani) akifungua kikao kazi cha Waratibu hao mjini Morogoro.

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Dorothy Mwaluko akiwa katika picha ya pamoja na Waratibu wanaosimamia masuala ya VVU, UKIMWI na Magonjwa Yasiyoambukizwa (MSY) katika taasisi za umma mara baada ya kufungua kikao kazi cha Waratibu hao mjini Morogoro.


No comments:

Post a Comment