Thursday, May 10, 2018

AFYA ZA WATUMISHI ZIZINGATIWE ILI KUBORESHA UTENDAJI



Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Anuai za Jamii, Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora, Bi. Leila Mavika akisisitiza jambo katika kikao kazi cha Kamati Tendaji ya Kitaifa inayosimamia utekelezaji wa shughuli za VVU, UKIMWI   na Magonjwa Sugu Yasiyoambukizwa (MSY) mahala pa kazi mjini Morogoro

Baadhi ya wajumbe wa Kamati Tendaji ya Kitaifa inayosimamia utekelezaji wa shughuli za VVU, UKIMWI na Magonjwa Sugu Yasiyoambukizwa (MSY) mahala pa kazi wakiwa katika kikao kazi mjini Morogoro.



No comments:

Post a Comment