Tuesday, May 15, 2018

SERIKALI YA TANZANIA YAISHUKURU SERIKALI YA USWISS KWA USHIRIKIANO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uswiss nchini Tanzania na Zambia, Mhe. Florence Tinguely Mattli (hayupo pichani) wakati wa kikao na Balozi huyo ofisini kwake leo jijini Dodoma
Balozi wa Uswiss nchini Tanzania na Zambia, Mhe. Florence Tinguely Mattli akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) hayupo pichani wakati wa kikao leo jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akimsikiliza kwa makini Balozi wa Uswiss nchini Tanzania na Zambia, Mhe. Florence Tinguely Mattli (hayupo pichani) wakati wa kikao na Balozi huyo ofisini kwake leo jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akipokea zawadi toka kwa Balozi wa Uswiss nchini Tanzania na Zambia, Mhe. Florence Tinguely Mattli aliyefika ofisini kwake jijini Dodoma kujitambulisha.

No comments:

Post a Comment