Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akifungua mkutano wa Watendaji Wakuu wa Wakala
za Serikali leo jijini Dar es salaam.
|
Friday, January 27, 2017
WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA WAKALA ZA SERIKALI, AZITAKA ZIFANYE KAZI NA KUJITEGEMEA
Thursday, January 26, 2017
Pongezi
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora inampongeza Mkurugenzi wa Utawala wa Utumishi wa Umma Bw.Nyakimura Muhoji kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma.
Tuesday, January 24, 2017
IDARA YA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA TAIFA YAFANYA UKAGUZI WA HALI YA UTUNZAJI KUMBUKUMBU KATIKA OFISI ZA MAMLAKA YA MAPATO MKOANI MBEYA
Monday, January 23, 2017
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YAHAMIA RASMI MAKAO MAKUU YA NCHI - DODOMA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwatakia
watumishi wake safari njema ya kuhamia Makao Makuu ya nchi - Dodoma.
|
Thursday, January 19, 2017
Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa yatembelea ofisi ya Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF)
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais
Ikulu Bw. Peter Ilomo akitoa maelezo ya
namna Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF) unavyotekeleza majukumu
yake kwa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa
ilipoitembelea ofisi hiyo ili kupata taarifa ya kiutendaji. Kushoto ni Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb) akimsikiliza kwa makini.
Monday, January 16, 2017
TANZIA
Misa ya kuaga mwili wa Mkurugenzi mstaafu Bw. Emmanuel Mlay kufanyika leo nyumbani kwake Banana-Ukonga, Dar es salaam.
Hadi anastaafu Bw. Mlay alikua ni Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasimali Watu katika Utumishi wa Umma-DHCM. Mazishi yatafanyika Moshi-Kilimanjaro.
Mwenyezi Mungu ampe pumziko la Milele.
Tuesday, January 10, 2017
MHE. KAIRUKI AFANYA MAZUNGUMZO YA KIKAZI NA BALOZI WA USWISI NCHINI TANZANIA
Friday, January 6, 2017
MHE. KAIRUKI AFANYA MAZUNGUMZO YA KIKAZI NA KAMISHNA WA MAADILI KATIKA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
Subscribe to:
Posts (Atom)