HONGERA KWA KUWA MTUMISHI MIAKA 38: Katibu Mkuu -Utumishi Bw. George D. Yambesi (katikati) akipongezwa na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu Bw. Aloyce Msigwa, (kushoto) ni Naibu Katibu Mkuu-Utumishi Bw. HAb Mkwizu. Bw. Yambesi amestaafu Utumishi wa Umma. |
No comments:
Post a Comment