Baadhi ya wageni waalikwa na wanufaika wa Mpango wa Mafunzo Ushirikiano wa Kiufundi na Kiuchumi wa Serikali ya India (ITEC) wakimsikiliza mgeni rasmi Katibu Mkuu Utumishi Bw.George D. Yambesi wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya mpango huo yaliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni wa India jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment