Tuesday, September 16, 2014

WATUMISHI WA UMMA KUPIMWA AFYA

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAb Mkwizu (wa kwanza kushoto) akiwa katika zoezi la kupima afya mapema leo.
Sehemu ya Viongozi na maofisa wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma waliohudhuria zoezi la kupima afya
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akipima afya ambapo zoezi hilo litawahusu Watumishi wa Umma kupima afya zao hasa Virusi vya Ugonjwa wa UKIMWI (VVU)

No comments:

Post a Comment