Katibu wa Pili wa Ubalozi wa Australia nchini Kenya Bi.Katherine Parkison akizungumza na wanachama wa Tanzania Australia Alumni Association wakati wa mkutano wao uliofanyika, jijini Dar es Salaam |
Mwenyekiti wa muda wa Tanzania Australia Alumni Association Bw.Francis Mhimbira (kushoto) akiwaeleza waandishi wa habari malengo ya chama hicho baada ya mkutano wao uliofanyika jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment