Thursday, December 31, 2015
MHE. KAIRUKI ATEMBELEA WAKALA YA SERIKALI MTANDAO NA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA
| Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akishuhudia sehemu ya kusimamia mtandao wa mawasiliano wa Serikali alipotembelea Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) |
| Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akizungumza na vyombo vya habari alipotembelea Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) |
| Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akishuhudia Mkongo wa Mawasiliano wa Taifa alipotembelea Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) |
| Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akizungumza na vyombo vya habari alipokitembelea Chuo cha Utumishi wa Umma (Magogoni) |
| Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Chuo cha Utumishi wa Umma alipokitembelea |
![]() |
| Add caption |
Wednesday, December 30, 2015
MHE. KAIRUKI AENDELEA NA ZIARA KUZITEMBELEA TAASISI ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kushoto)
akimsikiliza Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bi. Claudia Mpangala alipoitembelea
ofisi hiyo.
|
| Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kushoto) akiwahimiza watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma kuwajibika alipoitembelea ofisi hiyo. |
| Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kulia) akitazama moja ya kifaa cha kutunzia kumbukumbu alipoitembelea Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa |
Subscribe to:
Posts (Atom)

