Friday, January 5, 2018

INDIA KUENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WATANZANIA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb), akiwa katika kikao na balozi wa India nchini Mhe.Sandeep Arya, wa pili kutoka kushoto
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb), katikati, akiwa katika kikao na balozi wa India nchini Mhe.Sandeep Arya, wa pili kutoka kushoto.


MSIKILIZE WAZIRI MKUCHIKA AKIJADILI MASUALA YA UTUMISHI WA UMMA

BOFYA kiunganisho...https://youtu.be/03kW18VAtu0

TUNATEKELEZA; WAZIRI MKUCHIKA ASHIRIKI MJADALA KUHUSU MASUALA YA KIUTUMISHI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb), kulia, akishiriki mjadala katika kipindi cha Tunatekeleza kinachorushwa na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC).