Wednesday, March 16, 2016

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YATEMBELEA TAKUKURU NA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akitoa ufafanuzi kuhusu masuala yaliyoulizwa wakati wa kikao.

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola akitoa maelezo kuhusu taasisi anayoiongoza kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kuduma ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Jason Rweikiza (Mb) akitambulisha kamati anayoiongoza.

Mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Ruth Mollel (Mb) akitoa mchango wake katika kikao.
 
Sehemu ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa (mkono wa kushoto) wakisalimiana na wafanyakazi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kabla ya kikao.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xvier Daudi akiwasilisha mada kuhusu taasisi anayoiongoza kwa wajumbe wa kamati ya Bunge, hawapo pichani.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro, kushoto, akitoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali ya kiutumishi wakati wa kikao na kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kilichofanyika Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.

Waziri wa Nchi, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) kulia, akifafanua jambo wakati wa kikao na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kilichofanyika Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.

Waziri wa Nchi, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) wa tatu kutoka kushoto, akifafanua masuala mbalimbali yanayohusu Utumishi wakati wa kikao na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kilichofanyika Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
 
Tuesday, March 15, 2016

Ofisi ya Rais-Utumishi yaendelea na vikao kazi kwa njia ya video (video conference)

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bi. Susan Mlawi  (kushoto) akifungua kikao kazi kwa njia ya video kilichohusisha Ofisi ya Rais-Utumishi,Wizara ya Fedha na Mipango,Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa  na Michezo, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), pamoja na ofisi za Sekretarieti za mikoa ya Shinyanga, Singida, Mwanza, Tanga, Simiyu,Lindi kilichofanyika mapema leo.Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bi. Susan Mlawi  (kushoto) akifungua kikao kazi kwa njia ya video kilichohusisha Ofisi ya Rais-Utumishi,Wizara ya Fedha na Mipango,Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa  na Michezo, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), pamoja na ofisi za Sekretarieti za mikoa ya Shinyanga, Singida, Mwanza, Tanga, Simiyu,Lindi.
 
Baadhi ya Watendaji na Watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakifuatilia mada wakati wa kikao kazi kwa njia ya video kilichohusisha Ofisi ya Rais-Utumishi,Wizara ya Fedha na Mipango,Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa  na Michezo, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), pamoja na ofisi za Sekretarieti za mikoa ya Shinyanga, Singida, Mwanza, Tanga, Simiyu,Lindi. 

Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Bw.Abdul Dachi (picha kubwa kushoto) akiwatambulisha watumishi wa mkoa wake walioshiriki kikao kazi kwa njia ya video kilichohusisha Ofisi ya Rais-Utumishi,Wizara ya Fedha na Mipango,Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa  na Michezo, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), pamoja na ofisi za Sekretarieti za mikoa ya Shinyanga, Singida, Mwanza, Tanga, Simiyu,Lindi. 

Baadhi ya Watendaji na Watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakifuatilia mada wakati wa kikao kazi kwa njia ya video kilichohusisha Ofisi ya Rais-Utumishi,Wizara ya Fedha na Mipango,Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa  na Michezo, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), pamoja na ofisi za Sekretarieti za mikoa ya Shinyanga, Singida, Mwanza, Tanga, Simiyu,Lindi. 

Mkurugenzi wa Idara ya Mikataba ya Utendaji Kazi Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Hassan Kitenge (picha kubwa kushoto) akiwasilisha mada wakati wa kikao kazi kwa njia ya video kilichohusisha Ofisi ya Rais-Utumishi,Wizara ya Fedha na Mipango,Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa  na Michezo, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), pamoja na ofisi za Sekretarieti za mikoa ya Shinyanga, Singida, Mwanza, Tanga, Simiyu,Lindi 

Wednesday, March 9, 2016

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MAADILI YA UTENDAJI KAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais -Utumishi Bw. Mathew Kirama akiongea na washiriki, hawapo pichani, kuhusu Maadili katika Utumishi wa Umma.

Sehemu ya watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wakiwa katika mafunzo kuhusu Maadili. 
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Daudi Xavier, kulia, akiongea na watumishi wa sekretarieti kabla ya mafunzo kuhusu Maadili ya Utendaji katika Utumishi wa Umma.