Wednesday, December 6, 2017

WATUMISHI 200 WA SEKTA YA AFYA NCHINI KUJENGEWA UWEZO NCHINI CHINA


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb), kulia, akijadiliana masuala ya kiutumishi na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Mhe. Wang Ke (katikati) mapema leo.

No comments:

Post a Comment