Saturday, December 9, 2017

WANANCHI WAALIKWA KUSHIRIKI SIKU YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU KITAIFA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu tarehe 10 Disemba, 2017 katika Uwanja wa Mwalimu Nyerere Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiwasili katika Uwanja wa Mwalimu Nyerere kujionea huduma zinazotolewa na Taasisi zilizoshiriki kuandaa Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu kitaifa Disemba 10, 2017.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akipokea maelezo ya  huduma zinazotelewa na ofisi yake katika maonesho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Uwanja wa Mwalimu Nyerere Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akisisitiza jambo kwa watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma alipowatembelea wakati wa Maonesho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Uwanja wa Mwalimu Nyerere Dodoma.

Maofisa wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakitoa huduma kwa wananchi wakati wa maonesho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu katika Uwanja wa Mwalimu Nyerere Dodoma.


No comments:

Post a Comment