Kaimu Balozi wa
Marekani nchini Tanzania, Bi. Inmi Patterson (kushoto) akisaini kitabu cha
wageni alipomtembelea Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi
wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) ofisini kwake jijini Dar
es Salaam.
|
Friday, August 25, 2017
MHE. KAIRUKI AKUTANA NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI NA UJUMBE WAKE
MHE. KAIRUKI AAGANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA ALIYEMALIZA MUDA WAKE
Thursday, August 24, 2017
MHE. KAIRUKI AFANYA MAZUNGUMZO YA KIKAZI NA BALOZI WA JAPAN NCHINI TANZANIA
Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) akimsikiliza Balozi wa Japan nchini Tanzania, Bw.
Masaharu Yoshida (kushoto) alipofanya ziara ya kikazi ofisini kwake.
|
Tuesday, August 22, 2017
Monday, August 21, 2017
Watanzania nane wapata ufadhili wa masomo chini ya Mpango wa ABE
Mwakilishi Mkazi Mwandamizi wa JICA Bw. Toshio Nagase akizungumza katika hafla fupi ya kuwaaga Watanzania waliopata fursa ya kuhudhuria mafunzo nchini Japani chini ya ufadhili wa Serikali ya Japani kupitia mpango wa ABE Initiative, iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
|
Thursday, August 17, 2017
Tuesday, August 15, 2017
Sunday, August 13, 2017
Ofisi ya Rais-UTUMISHI yawakaribisha Wataalam watano wa Kujitolea kutoka nchini Japan waliokuja kutoa huduma katika maeneo mbalimbali nchini
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi (wa nne kutoka kushoto) katika picha ya pamoja na Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini baada ya hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam hao iliyofanyika Ofisi ya Rais-UTUMISHI.Wengine ni wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI. |
Friday, August 11, 2017
Wednesday, August 9, 2017
Monday, August 7, 2017
Thursday, August 3, 2017
KATIBU MKUU UTUMISHI AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA MADEREVA WA SERIKALI
Miundo ya Utumishi wa Umma
Tembelea link ifuatayo kusoma Waraka Na.1 wa mwaka 2004 kuhusu Utekelezaji wa Miundo ya Utumishi wa Umma;
http://www.utumishi.go.tz/utumishiweb/index.php?option=com_phocadownload&view=file&id=398:waraka-wa-utumishi-na-1-wa-2004-kuhusu-utekelezaji-wa-miundo-ya-utumishi&Itemid=180&start=20&lang=en
http://www.utumishi.go.tz/utumishiweb/index.php?option=com_phocadownload&view=file&id=398:waraka-wa-utumishi-na-1-wa-2004-kuhusu-utekelezaji-wa-miundo-ya-utumishi&Itemid=180&start=20&lang=en
Miundo ya UTUMISHI
"Watumishi wa Umma ambao Miundo yao ya Maendeleo ya Utumishi iliwataka kuwa na sifa ya kufaulu mtihani wa kidato cha Nne wakati wanaajiriwa, na ambao hawajawasilisha vyeti vyao kwa ajili ya kuhakikiwa na Baraza la Mitihani Tanzania mishahara yao isimamishwe kuanzia mwezi Julai, 2017 hadi watakapowasilisha vyeti hivyo kwa ajili ya kuhakikiwa"
Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Julai 13/2017
Subscribe to:
Posts (Atom)