Utumishi yasisitiza Taasisi za Umma kutumia teknolojia ya mikutano kwa njia ya video ( Video Conference)
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.Florence Temba akisisitiza matumizi ya teknolojia ya video Serikalini (Video Conference) alipokuwa akihojiwa na Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji TBC Bi. Angella Michael.
No comments:
Post a Comment