Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na watumishi wa Idara
ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora alipoitembelea idara hiyo kwa lengo la kufahamu majukumu ya idara na
kuhimiza uwajibikaji.
Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi
wa Umma na Utawala Bora Bw. Fabian Pokela (kulia) akifafanua majukumu ya Idara
yake kwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) (hayupo pichani) alipoitembelea
idara hiyo kwa lengo la kufahamu majukumu ya idara na kuhimiza uwajibikaji.
Baadhi ya watumishi wa Idara ya Ukuzaji Maadili,Ofisi ya Rais, Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakipokea maelekezo kutoka kwaNaibu Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) (hayupo pichani) alipoitembelea idara hiyo kwa lengo
la kufahamu majukumu ya idara na kuhimiza uwajibikaji.