Wednesday, November 27, 2019
Wednesday, November 20, 2019
KAMISHNA WA TUME YA MAADILI NA KUZUIA RUSHWA NCHINI KENYA ATEMBELEA OFISI YA RAIS UTUMISHI
Tuesday, November 19, 2019
MAWAZIRI WENYE DHAMANA YA UTUMISHI NA UTAWALA BORA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR WAKUTANA KUZUNGUMZIA NAMNA YA KUBORESHA UTOAJI WA HUDUMA KWA UMMA
Friday, November 15, 2019
WATUMISHI 44,800 WA KADA YA AFYA KUAJIRIWA NCHINI KWA MWAKA WA FEDHA 2019/20 ILI KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA
Thursday, November 14, 2019
TAASISI ZA UMMA NCHINI ZATAKIWA KUWAPATIA HUDUMA YA USAFIRI WATUMISHI WA UMMA WENYE ULEMAVU
Tuesday, November 12, 2019
TASAF YAPONGEZWA NA KAMATI YA BUNGE KWA MAFANIKIO YA MALIPO YA RUZUKU KIELEKRONIKI KWA KAYA MASKINI
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na
Serikali za Mitaa, Mhe. Jasson Rweikiza (Mb) akifungua kikao kazi
cha kamati yake na viongozi wa Ofisi
ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye lengo la kupokea
mrejesho wa matumizi ya TEHAMA katika shughuli zinazofanya na TASAF
uliowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga kwenye
Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma jana.
|
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa wakifuatilia mada kuhusu matumizi ya TEHAMA katika utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini, iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga kwenye Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma jana. |
Mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za
Mitaa, Mhe. Rehema Migilla (Mb) akichangia hoja kuhusu mada ya matumizi ya
TEHAMA katika utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini, iliyowasilishwa
na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga kwenye Ukumbi wa Bunge
jijini Dodoma jana.
|
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga akitoa ufafanuzi wa
hoja zilizowasilshwa na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za
Mitaa kuhusu matumizi ya TEHAMA katika utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya
Maskini nchini.
|
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala
na Serikali za Mitaa, Mhe. Mwanne Mchemba (Mb) akifunga
kikao kazi cha kamati yake na viongozi
wa Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye lengo
la kupokea mrejesho wa matumizi ya TEHAMA katika shughuli zinazofanya na TASAF
uliowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga kwenye
Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma jana.
|
Saturday, November 9, 2019
TAASISI YA UONGOZI YATAKIWA KUTOA MAFUNZO KWA VIONGOZI KATIKA MAENEO YAO YA KAZI ILI KUIMARISHA UTAWALA BORA
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akihimiza uwajibikaji kwa watumishi wa Taasisi ya
Uongozi (UONGOZI Institute) ( hawapo pichani) wakati wa kikao kazi cha
Naibu Waziri huyo na watumishi hao kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa
taasisi hiyo jijini Dar es Salaam jana.
|
Baadhi ya watumishi wa Taasisi ya Uongozi (UONGOZI Institute)
wakisikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) wakati wa kikao kazi cha watumishi hao
na Naibu waziri huyo chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika katika
ukumbi wa Taasisi hiyo jijini Dar es Salaam.
|
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Taasisi
ya Uongozi (UONGOZI Institute) mara baada ya kikao kazi cha Naibu Waziri
huyo na watumishi hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji, kilichofanyika
katika ukumbi wa mikutano wa taasisi hiyo jijini Dar es Salaam jana.
|
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI, Prof. Joseph Semboja akimkaribisha
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) mara baada ya Naibu Waziri huyo kuwasili katika
Taasisi hiyo kwa ajili ya kikao kazi cha kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa
taasisi hiyo.
|
Subscribe to:
Posts (Atom)