Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George
H. Mkuchika (Mb) akifungua kikao kazi cha Mawaziri wenye dhamana ya masuala ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chenye lengo la kuboresha utoaji wa huduma
kwa wananchi pamoja na kuimarisha muungano kilichofanyika jana jijini Dar es
Salaam.
|
No comments:
Post a Comment