Wednesday, November 7, 2018

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU WATUMISHI WA UMMA WALIOHAMIA DODOMA KUOMBA UHAMISHO KUREJEA DAR ES SALAAM



Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza katika mahojiano maalum na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ofisini kwake leo jijini Dodoma kuhusiana na zoezi zima la uhamisho wa watumishi wa umma kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma.

No comments:

Post a Comment