Mkurugenzi wa Undelezaji
Sera wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Mathias Kabunduguru
akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya kiutumishi wakati wa Kipindi cha “Morning
Trumpet “kinachorushwa na AZAM TV. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala wa Utumishi wa
Umma, Bw. Nyakimura Muhoji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
kushoto ni Mtangazaji wa kipindi hicho Bw. Faraja Sendegeya.
|
No comments:
Post a Comment