Wednesday, March 30, 2016
Tuesday, March 29, 2016
Ubalozi wa India nchini Tanzania waadhimisha ITEC DAY
Friday, March 25, 2016
KITAMBULISHO KWA MTUMISHI WA UMMA
KITAMBULISHO CHA KAZI KWA MTUMISHI WA UMMA-Ni wa wajibu wa kila mwajiri kuhakikisha kila mtumishi mahala pa kazi anakuwa na kitambulisho rasmi cha kazi, na HAKIUZWI kwa watumishi. Ni wajibu wa mwajiri kutenga fedha kwa kazi hiyo.
Thursday, March 24, 2016
Wednesday, March 23, 2016
Friday, March 18, 2016
Tahadhari!
Ofisi ya Rais-Menejimenti na Utumishi wa Umma inapenda kuwatahadharisha watumishi na wananchi kwa ujumla kwamba Fomu za Ahadi ya Uadilifu kwa Watumishi wa Umma haziuzwi na kila Mwajiri ahakikishe anawapatia watumishi fomu hizo zinazopatikana katika Tovuti ya Utumishi www.utumishi.go.tz
Ujumbe kutoka Shirika la misaada la Uingereza DFID wamtembelea Mhe. Kairuki
Balozi wa China Nchini Tanzania akutana na Mhe. Kairuki
Ujumbe kutoka ubalozi wa China nchini ukimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (hayupo pichani)
ulipotembelea ofisini kwake mapema leo.
|
Thursday, March 17, 2016
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa yatembelea TASAF na Tume ya Utumishi wa Umma
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Mendeleo ya Jamii (TASAF) Bw. Ladislaus Mwamanga akiwasilisha mada
ofisini kwake wakati wa kikao na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na
Serikali za Mitaa.
|
Mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa akitoa mchango wake wakati wa kikao kati ya Tume ya Utumishi wa Umma na Kamati hiyo kilichofanyika ofisi za Tume. |
Wednesday, March 16, 2016
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YATEMBELEA TAKUKURU NA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akitoa ufafanuzi kuhusu masuala yaliyoulizwa wakati wa kikao. |
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kuduma ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Jason
Rweikiza (Mb) akitambulisha kamati anayoiongoza.
|
Mmoja
wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe.
Ruth Mollel (Mb) akitoa mchango wake katika kikao.
|
Sehemu
ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa (mkono
wa kushoto) wakisalimiana na wafanyakazi wa Sekretarieti ya Ajira katika
Utumishi wa Umma kabla ya kikao.
|
Katibu
wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xvier Daudi akiwasilisha
mada kuhusu taasisi anayoiongoza kwa wajumbe wa kamati ya Bunge, hawapo
pichani.
|
Tuesday, March 15, 2016
Ofisi ya Rais-Utumishi yaendelea na vikao kazi kwa njia ya video (video conference)
Wednesday, March 9, 2016
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MAADILI YA UTENDAJI KAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi
ya Rais -Utumishi Bw. Mathew Kirama akiongea na washiriki, hawapo pichani,
kuhusu Maadili katika Utumishi wa Umma.
|
Sehemu ya watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wakiwa katika mafunzo kuhusu Maadili. |
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Daudi
Xavier, kulia, akiongea na watumishi wa sekretarieti kabla ya mafunzo kuhusu
Maadili ya Utendaji katika Utumishi wa Umma.
|
Subscribe to:
Posts (Atom)