Friday, May 29, 2015

UMOJA WA WATANZANIA WALIOSOMA NCHINI AUSTRALIA WAZINDULIWA RASMI

Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera Bw.Mathias Kabunduguru (aliyesimama) aliyemwakilisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi Mh. Celina O. Kombani (Mb) akizungumza wakati wa uzinduzi wa Umoja wa Watanzania waliosoma nchini Australia (TAAA) jijini Dar es Salaam leo. 

Waziri wa Afya na Utalii wa Australia Mh. Dkt. Kim Hames akizungumza wakati wa uzinduzi wa Umoja wa Watanzania waliosoma nchini Australia (TAAA) jijini Dar es Salaam leo. 
Baadhi ya Watanzania  waliosoma nchini Australia wakimsikiliza mgeni rasmi Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera Bw.Mathias Kabunduguru (kushoto) aliyemwakilisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi Mh. Celina O. Kombani (Mb) (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Umoja wa Watanzania waliosoma nchini Australia (TAAA) leo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Watanzania  waliosoma nchini Australia wakimsikiliza mgeni rasmi Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera Bw.Mathias Kabunduguru (kushoto) aliyemwakilisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi Mh. Celina O. Kombani (Mb) (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Umoja wa Watanzania waliosoma nchini Australia (TAAA) leo jijini Dar es Salaam.

Rais wa Umoja wa Watanzania waliosoma nchini Australia (TAAA) Bw. Francis Mhimbila akizungumza wakati wa uzinduzi wa Umoja huo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera Bw.Mathias Kabunduguru (kushoto) aliyemwakilisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi Mh. Celina O. Kombani (Mb) akizungumza na waandishi  habari baada ya kuzindua Umoja wa Watanzania waliosoma nchini Australia (TAAA) leo  jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera Bw.Mathias Kabunduguru (aliyesimama) aliyemwakilisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi Mh. Celina O. Kombani (Mb) akizungumza na Watanzania walionufaika na ufadhili wa masomo nchini Australia

Wednesday, May 20, 2015

PPRA YAIKABIDHI UTUMISHI TUZO YA UTENDAJI ULIOTUKUKA KATIKA ENEO LA UNUNUZI WA UMMA

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) (kushoto) akikabidhi tuzo ya utendaji uliotukuka katika eneo la ununuzi wa umma kwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.Samson Akyoo (kulia) katika Maadhimisho ya  miaka 10 ya PPRA yaliyofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee jana.Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA Balozi Martin Lumbanga (wa pili kutoka kushoto) na Mtendaji Mkuu Mstaafu wa PPRA Dkt. Ramadhani Mlinga (wa pili kutoka kulia).

Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.Samson Akyoo (wa tatu kutoka kulia) akionyesha tuzo ya utendaji uliotukuka katika eneo la ununuzi wa umma kwa watumishi wa ofisi yake.Tuzo hiyo alikabidhiwa na PPRA katika Maadhimisho ya miaka 10 ya PPRA  yaliyofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee jana.

Sunday, May 17, 2015

KOMBANI AITISHA KIKAO NA WATENDAJI WA OFISI YAKE MJINI DODOMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akiongea na watendaji kutoka Ofisi ya Rais katika ukumbi wa Kituo cha Taifa cha Kumbukumbu-Dodoma kabla ya kuwasilisha bajeti Bungeni siku ya Jumatatu, Mei 18/2015

Watendaji kutoka Taasisi zilizo Ofisi ya Rais wakipitia maelezo ya Bajeti ya mwaka 2015/2016.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Ikulu Bw.Peter Alanambula Ilomo (wa kwanza kushoto), pamoja na watendaji wengine wakiwa katika kikao cha matayarisho ya kuwasilisha bajeti Bungeni wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) hayupo pichani.

Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu akitoa maelekezo katika kikao cha kujiandaa kuwasilisha Bajeti ya Ofisi ya Rais kilichofanyika katika ukumbi wa Kituo cha Taifa cha Kumbukumbu - Dodoma.

Tuesday, May 5, 2015

UTUMISHI YAFANYA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI


Kaimu Katibu Mkuu - Utumishi Bw.HAB Mkwizu (aliyesimama)  akifungua mkutano  wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma katika ukumbi wa hoteli ya J.B Belmonte mapema leo. Kulia kwake ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi Bi.Lilian Denis.
Kaimu Katibu Mkuu - Utumishi Bw.HAB Mkwizu (aliyesimama)  akifungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma uliofanyika hoteli ya J.B Belmonte mapema leo. Wengine ni wajumbe wa baraza la wafanyakazi la Utumishi.
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi wakiwa katika mkutano  wa Baraza la wafanyakazi uliofanyika hoteli ya J.B Belmonte mapema leo.


Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.Aloyce Msigwa (aliyesimama) akichangia mada katika mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma uliofanyika hoteli ya J.B Belmonte mapema leo.
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi wakifuatilia mada katika mkutano  wa Baraza la Wafanyakazi uliofanyika hoteli ya J.B Belmonte mapema leo.


Monday, May 4, 2015

TRAINING OPPORTUNITY IN JAPAN

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
 PRESIDENT’S OFFICE
PUBLIC SERVICE MANAGEMENT

ANNOUNCEMENT OF SIX MONTHS TRAINING PROGRAM IN THE FIELDS OF DEVELOPMENT EXPERIENCES OF JAPAN, EAST ASIAN ECONOMIES, INTERNATIONAL TRADE ISSUES, JAPANESE AID POLICY AND ADMINISTRATION AT THE INSTITUTE OF DEVELOPING ECONOMIES ADVANCED SCHOOL (IDEAS) FOR THE YEAR 2015/2016

Introduction:
Applications are invited from qualified government officials to apply for the above-mentioned six months training programs in Japan at the Institute of Developing Economies Advanced School (IDEAS) for the year 2015/2016. The program starts in September 29, 2015 to March 10, 2016.

Admission Requirements:
·   Should be Public Servants  with 35 of age or younger as of October 1, 2015 in
   principle,
·   Should be engaged in the management of relevant field,
·   3 years and above working experience in the relevant field,
·   Should hold a master’s degree or equivalent experiences regardless of field,
·   Proficient in English (TOEFL iBT score of at least 88 is highly recommended ,
·   Should be persons who can be recommended by their current governmental
   organization,
·   Should accept the Terms and Conditions if selected by IDEAS,
·   In a good health and free from infectious disease, and
·   The application forms should be typed.

Fellows will be provided with:
·   A round trip economy-class air ticket,
·   A monthly stipend,
·   Free tuition for course work,
·   Free textbooks and audio visual equipment for study purposes,
·   An individual locker, desk and computer with internet access, and
·   Access to the IDE/JETRO library.

For more information about training programs, application procedures and course information can be obtained in http://www.ide.go.jp/English/Ideas

Submission:
·   Applicants are requested to submit by an e-mail the application documents to goideas@ide.go.jp.

·   The hard copy of the application documents should be submitted to this office and will be forwarded to the Secretary General of IDEAS, IDE-JETRO.

·   The Deadline for application is before June 15, 2015.

For more information, kindly contact the President’s Office, Public Service Management to the underneath address:-
Permanent Secretary,
President’s Office,
Public Service Management,
Utumishi House,
8 Kivukoni Road,
P. O. Box 2483,
DAR ES SALAAM.                  Att: Division of Human Resource Development


UTUMISHI YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa jijini Dar es Salaam.

Wafanyakazi wakiimba wimbo wa mshikamano katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakiimba wimbo wa mshikamano katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

UTUMISHI YAWASILISHA MPANGO WAKE KWA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KATIBA,SHERIA NA UTAWALA BORA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi Mh. Celine O. Kombani (Mb) (aliyenyanyua kitabu) akiwasilisha mpango wa mwaka 2015/16 katika kikao cha Kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba,Sheria na Utawala Bora kilichofanyika mwishoni mwa wiki kwenye ofisi ndogo za Bunge. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Utawala Bora Mh.George H. Mkuchika  (Mb) na kushoto kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Mahusiano na Uratibu Mh. Dkt.Mary Nagu. (Mb)