Watumishi wa Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakitoa salamu ya wafanyakazi wakati
wa uchaguzi wa kumpata mfanyakazi bora wa ofisi kwa mwaka 2015.
|
Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakisikiliza
maelekezo ya uchaguzi wa mfanyakazi bora wa ofisi kwa mwaka 2015.
|
Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili Bw. Methew Kirama mwenye Ipad
(wa kwanza kushoto) akichukua matukio
wakati wa uchaguzi wa kumpata mfanyakazi bora wa ofisi ya Rais –
Utumishi kwa mwaka 2015.
|
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu akimtangaza mfanyakazi
bora wa ofisi wa mwaka 2015 mara baada ya uchaguzi kufanyika.
|
Mfanyakazi bora wa Ofisi
ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma wa mwaka 2015 Bw. Francis Sangunaa
(kulia) akiwashukuru watumishi baada ya kuchaguliwa
|
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB
Mkwizu akitoa maelekezo ya kumpata mfanyakazi bora wa ofisi kwa mwaka 2015.
|
No comments:
Post a Comment