Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akiwakaribisha
ofisini kwake Mkuu wa Taasisi ya
Ujerumani iitwayo Hanns Seidel Foundation kwa Afrika na ukanda wa Sahara Bw. Klaus
Liepert (wa pili kushoto) pamja na mwakilishi mkazi wa taasisi hiyo hapa Tanzania
Bi. Julia Berger (wa kwanza kushoto).
|
No comments:
Post a Comment