Kamati iliyosimamia zoezi la uchaguzi wa viongozi wa klabu ya michezo ya Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma. |
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utawala,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Tumishi wa Umma Bi.Jane Kajiru akizungumza kuhusu umuhimu wa michezo mahala pa kazi. |
Sehemu ya wagombea waliojitosa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi. |
Sehemu ya wapiga kura waliojitokeza. |
Sehemu ya wagombea waliojitosa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi. |
No comments:
Post a Comment