Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na RasilimaliwatuUtumishi Bw. Aloyce Msigwa akiongea katika hafla fupi ya kutoa zawadi kwa Watumishi bora wa Ofisi ya Rais-Utumishi. |
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakimsikiliza Katibu Mkuu-Utumishi Bw.George D. Yambesi (hayupo pichani) wakati akiitoa pongezi kwa watumishi hao. |
Dkt.Fidelis Owenya kutoka GIZ akitoa mada kuhusu magonjwa yasiyoambukiza kwa watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi . |
Katibu Mkuu - Utumishi Bw.George D. Yambesi akimkabidhi zawadi Mfanyakazi Bora wa Kitengo Ukaguzi wa Ndani Bw. George Manyai katika hafla fupi ya kuwapongeza wafanyakazi bora. |
|
No comments:
Post a Comment