Saturday, May 26, 2018

SERIKALI YAWATAKA WAHITIMU WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA UFANISI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (MST)  Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiwa tayari kwa maandamano  ya Mahafali ya 28 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) yaliyofanyika katika Kampasi ya Mbeya.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (MST)  Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza kwenye  Mahafali ya 28 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) yaliyofanyika katika Kampasi ya Mbeya.


Baadhi ya wahitimu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) wakiwa katika Mahafali ya 28 ya chuo hicho yaliyofanyika katika Kampasi ya Mbeya.

Mtendaji Mkuu na Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania Dkt. Henry Mambo akizungumza wakati wa ya 28 ya chuo hicho yaliyofanyika katika Kampasi ya Mbeya.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (MST)  Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiwa meza kuu na baadhi ya viongozi wakati wa Mahafali ya 28 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) yaliyofanyika katika Kampasi ya Mbeya.



Tuesday, May 15, 2018

SERIKALI YA TANZANIA YAISHUKURU SERIKALI YA USWISS KWA USHIRIKIANO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uswiss nchini Tanzania na Zambia, Mhe. Florence Tinguely Mattli (hayupo pichani) wakati wa kikao na Balozi huyo ofisini kwake leo jijini Dodoma
Balozi wa Uswiss nchini Tanzania na Zambia, Mhe. Florence Tinguely Mattli akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) hayupo pichani wakati wa kikao leo jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akimsikiliza kwa makini Balozi wa Uswiss nchini Tanzania na Zambia, Mhe. Florence Tinguely Mattli (hayupo pichani) wakati wa kikao na Balozi huyo ofisini kwake leo jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akipokea zawadi toka kwa Balozi wa Uswiss nchini Tanzania na Zambia, Mhe. Florence Tinguely Mattli aliyefika ofisini kwake jijini Dodoma kujitambulisha.