Friday, July 31, 2015
Tuesday, July 14, 2015
Matukio wakati wa Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Sehemu maalum ya wajasiriamali katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) ambapo mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika. |
Siku ya pili ya Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu Kiongozi wa Uganda Bw. John Mitala akiwasilisha mada katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaoendelea jijini Dar es Salaam. |
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt. Kuwe Bakari na wajumbe wengine wakifuatilia mada katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola barani Afrika. |
Sekretariet inayohudumia mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa nchi za Afrika wanachama wa Jumuiya ya Madola. |
Monday, July 13, 2015
MKUTANO WA 12 WA WAKUU WA UTUMISHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA
Sekretarieti ikikusanya taarifa mbalimbali za wajumbe wa mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika. |
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika wakifuatilia mada. |
MKUTANO WA 12 WA WAKUU WA UTUMISHI WA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRIKA WAANZA
Mmoja wa Wajumbe wa
mkutano wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika kutoka Afrika
Kusini Bi.Colette Clark akipokewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y.
Sefue.
|
Mmoja wa Wajumbe wa
mkutano wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika kutoka Afrika Rwanda Bw. Gaspard Musonera akipokewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue.
|
Friday, July 10, 2015
MKUTANO WA 12 WA WAKUU WA UTUMISHI WA UMMA WA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRIKA KUFANYIKA JULAI 13
Subscribe to:
Posts (Atom)