Friday, September 26, 2014
Monday, September 22, 2014
TANZANIA AUSTRALIA ALUMNI ASSOCIATION YAZINDULIWA
Katibu wa Pili wa Ubalozi wa Australia nchini Kenya Bi.Katherine Parkison akizungumza na wanachama wa Tanzania Australia Alumni Association wakati wa mkutano wao uliofanyika, jijini Dar es Salaam |
Mwenyekiti wa muda wa Tanzania Australia Alumni Association Bw.Francis Mhimbira (kushoto) akiwaeleza waandishi wa habari malengo ya chama hicho baada ya mkutano wao uliofanyika jijini Dar es Salaam. |
Tuesday, September 16, 2014
WATUMISHI WA UMMA KUPIMWA AFYA
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAb Mkwizu (wa kwanza kushoto) akiwa katika zoezi la kupima afya mapema leo. |
Sehemu ya Viongozi na maofisa wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma waliohudhuria zoezi la kupima afya |
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akipima afya ambapo zoezi hilo litawahusu Watumishi wa Umma kupima afya zao hasa Virusi vya Ugonjwa wa UKIMWI (VVU) |
Friday, September 5, 2014
SCHOLARSHIP ANNOUNCEMENT LONG COURSES (MASTERS DEGREE) UNDER CHEVENING SCHOLARSHIP FUNDED BY THE UNITED KINGDOM AND COMMONWEALTH FOR 2015/2016.
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESIDENT’S
OFFICE
PUBLIC
SERVICE MANAGEMENT
Applications
are invited from qualified Tanzanians (Public and Private Sector) to apply for Long
Courses tenable in United Kingdom for the year 2015/2016.
Eligibility for Chevening Scholarship:
·
Be a citizen of a Chevening –eligible country
and intend to return there after your studies,
·
Hold a degree that is equivalent to at least
an upper second class honors Degree in the UK,
·
Have Completed at least two years work experience,
·
Be able to meet the Chevening minimum English
Language requirement,
·
Be able to obtain the correct visa and
receive an unconditional offer form a UK university,
You
must submit an online application for a Chevening Scholarship through the
Chevening Scholarships website www.chevening.org/apply before the closing date
which is 15 November, 2014.
For
more details about the scholarship and courses offered and eligibility criteria
can be found at www.chevening,org/apply/guidance.
Further details about
application process, closing dates and priority subject areas will be available
on the country pages of www.chevening.org/apply The
Deadline of Application Process is 15 November, 2014.
SCHOLARSHIP ANNOUNCEMENT FOR LONG COURSES IN REPUBLIC OF KOREA FOR THE SPRING 2015
PRESIDENT'S OFFICE
PUBLIC
SERVICE MANAGEMENT
Applications are
invited for qualified government officials to apply for the following long
courses at the KDI School of
Public Policy and Management:-
1. MPP (Master of Public Policy),
2. MDP (Master of Development Policy),
3. MPM (Master of Public Management), and
4. Ph.D. in Public Policy.
Admissions
procedures:
Submission of online
application must be completed by midnight of the deadline via this website: http://admissions.kdischool.ac.kr/
The application
deadline for Spring 2015 Admissions is October
24th, 2014.
For more information
about the admissions, scholarship opportunities and candidate recommendation
please feel free to contact the Admission Office (phone: 02 – 3299 – 1281,
E-mail: admissions@kdischool.ac.kr)
The
Application Guideline for International Students is attached with this
Advertisement easy reference.
Thursday, September 4, 2014
WATANZANIA 30 WAPATA FURSA ZA KUSOMA SHAHADA ZA UZAMILI NCHINI JAPANI
Sehemu ya Watanzania waliopata ufadhili wa kusoma Shahada za Uzamili nchini Japani. |
Balozi wa Japani nchini Tanzania Bw. Masaki Okada akiwahutubia Watanzania (hawapo pichani) waliopata nafasi ya kusoma nchini Japani katika hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika jijini Dar es Salaam. |
Subscribe to:
Posts (Atom)