Monday, December 23, 2019
RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AAGIZA VIJANA WENYE SHAHADA YA KWANZA WALIOHITIMU MAFUNZO YA JKT “OPERESHENI MAGUFULI” WAAJIRIWE SERIKALINI
Thursday, December 12, 2019
Wadau watakiwa kutoa mchango utakaoboresha utendaji kazi na kuleta tija katika Utumishi wa Umma
Naibu Waziri, Ofisi
ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa
(Mb) akizungumza na wadau wa Tija wenye lengo la kujadili uboreshaji wa
utendaji kazi katika Utumishi wa Umma ili kuongeza Tija katika Ukumbi wa HAZINA
Ndogo jijini Dodoma kabla ya kufungua kikao cha wadau hao kwa niaba ya Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Taasisi za Umma zatakiwa kutekeleza Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa Ili kuboresha utoaji huduma kwa wananchi
|
Monday, December 9, 2019
Saturday, December 7, 2019
Thursday, December 5, 2019
TAKUKURU YATAKIWA KUDHIBITI RUSHWA KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA
Wednesday, November 27, 2019
UTUMISHI YASHIRIKI UZINDUZI WA KAMPENI YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA, JIJINI DODOMA
Wednesday, November 20, 2019
KAMISHNA WA TUME YA MAADILI NA KUZUIA RUSHWA NCHINI KENYA ATEMBELEA OFISI YA RAIS UTUMISHI
Tuesday, November 19, 2019
MAWAZIRI WENYE DHAMANA YA UTUMISHI NA UTAWALA BORA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR WAKUTANA KUZUNGUMZIA NAMNA YA KUBORESHA UTOAJI WA HUDUMA KWA UMMA
Friday, November 15, 2019
WATUMISHI 44,800 WA KADA YA AFYA KUAJIRIWA NCHINI KWA MWAKA WA FEDHA 2019/20 ILI KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA
Thursday, November 14, 2019
TAASISI ZA UMMA NCHINI ZATAKIWA KUWAPATIA HUDUMA YA USAFIRI WATUMISHI WA UMMA WENYE ULEMAVU
Tuesday, November 12, 2019
TASAF YAPONGEZWA NA KAMATI YA BUNGE KWA MAFANIKIO YA MALIPO YA RUZUKU KIELEKRONIKI KWA KAYA MASKINI
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na
Serikali za Mitaa, Mhe. Jasson Rweikiza (Mb) akifungua kikao kazi
cha kamati yake na viongozi wa Ofisi
ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye lengo la kupokea
mrejesho wa matumizi ya TEHAMA katika shughuli zinazofanya na TASAF
uliowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga kwenye
Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma jana.
|
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa wakifuatilia mada kuhusu matumizi ya TEHAMA katika utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini, iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga kwenye Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma jana. |
Mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za
Mitaa, Mhe. Rehema Migilla (Mb) akichangia hoja kuhusu mada ya matumizi ya
TEHAMA katika utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini, iliyowasilishwa
na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga kwenye Ukumbi wa Bunge
jijini Dodoma jana.
|
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga akitoa ufafanuzi wa
hoja zilizowasilshwa na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za
Mitaa kuhusu matumizi ya TEHAMA katika utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya
Maskini nchini.
|
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala
na Serikali za Mitaa, Mhe. Mwanne Mchemba (Mb) akifunga
kikao kazi cha kamati yake na viongozi
wa Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye lengo
la kupokea mrejesho wa matumizi ya TEHAMA katika shughuli zinazofanya na TASAF
uliowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga kwenye
Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma jana.
|
Subscribe to:
Posts (Atom)