Thursday, June 28, 2018

MAKAMU WA RAIS KUSHIRIKI BONANZA LA SHIMIWI JIJINI DODOMA-TAARIFA KWA UMMA


Katibu Mkuu wa Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) Bw. Moshi Makuka akizungumza kuhusu maadalizi ya bonanza lililoandaliwa na SHIMIWI litakalofanyika siku ya Jumamosi tarehe 30 Juni, 2018 katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma. Mgeni Rasmi atakuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.

MAKAMU WA RAIS KUSHIRIKI BONANZA LA SHIMIWI JIJINI DODOMA

Tuesday, June 26, 2018

SERIKALI YADHAMIRIA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA KUTOA HUDUMA KUPITIA MIFUMO YA TEHEMA YA UTOAJI HUDUMA KWA UMMA



Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akizungumza na wananchi siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2018 katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akitoa maelezo ya utangulizi kumkaribisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) kuzungumza na wananchi siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2018 katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mifumo ya TEHAMA ya Serikali ya utoaji huduma kwa umma, siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2018 katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akibofya kitufe kuzindua Mifumo ya TEHAMA ya Serikali ya utoaji huduma kwa umma, siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2018 katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akikabidhi cheti cha kuzaliwa kwa Shukran George kwa niaba ya mtoto wake Magreth Msomba, siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2018 katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akisalimiana na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi, Dkt. Laurean Ndumbaro siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2018 katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square jijini Dodoma.


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Utumishi, siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2018 katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square jijini Dodoma.

Wednesday, June 20, 2018

Tuesday, June 19, 2018

MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, 2018


KATIBU MKUU - UTUMISHI ATOA HUDUMA SEHEMU YA MAPOKEZI KUADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, 2018



Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akitoa huduma kwa mdau eneo la mapokezi ya ofisi yake, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka, 2018. 

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akitoa huduma kwa mdau eneo la mapokezi ya ofisi yake ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka, 2018. 

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na wadau wa masuala ya kiutumishi waliofika kupata huduma katika ofisi yake eneo la mapokezi, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka, 2018. 

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akimsikiliza mmoja wa wadau wa masuala ya kiutumishi waliofika kupata huduma katika ofisi yake eneo la mapokezi, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka, 2018.



Friday, June 8, 2018

SERIKALI YAWATAKA WAAJIRI NCHINI KUANDAA MAPEMA TAARIFA SAHIHI ZA WATUMISHI ILI WANAPOSTAAFU WAPATE MAFAO KWA WAKATI



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu mafao ya wastaafu katika ukumbi wa Habari wa Bunge jijini Dodoma leo.

Baadhi ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) (hayupo pichani) katika ukumbi wa Habari wa Bunge jijini Dodoma leo.