Friday, May 13, 2016

Taasisi za Umma zatakiwa kutekeleza mwongozo wa beji za Watumishi na utaratibu wa kununua samani

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw. Florence Temba (katikati)  akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano uliofanyika Idara ya Habari - MAELEZO mapema leo. 
Waandishi wa habari wakifuatilia mada. 
Mkurugenzi Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa  Kazi  Bw. Micky Kiliba (kushoto) akijibu maswali ya waandishi wa habari kwenye kikao kilichofanyika Idara ya Habari - MAELEZO mapema leo.

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa  Kazi  Bi. Veila Shoo (kulia) akijibu maswali ya waandishi wa habari kwenye kikao kilichofanyika Idara ya Habari - MAELEZO mapema leo.


Tuesday, May 10, 2016

Utumishi yatoa matokeo ya Ufuatiliaji wa Mifumo na Viwango vya Taasisi za Umma nchini.

Mkurugenzi Idara ya Uchambuzi na Ushauri Kazi Bw. Mick Kiliba (katikati) akifungua kikao kuhusu Ufuatiliaji wa Mifumo na Viwango vya Taasisi za Umma nchini kilichofanyika ukumbi wa Utumishi. 
Wawakilishi kutoka Taasisi mbalimbali za Umma nchini wakifuatilia mada.

Mkurugenzi Msaidizi Bi. Veila Shoo akiwasilisha matokeo kuhusu Ufuatiliaji wa Mifumo na Viwango vya kwa Taasisi za Umma nchini, wanaomsikiliza ni sehemu ya wawakilishi kutoka katika Taasisi za Umma.

Friday, May 6, 2016

Ofisi ya Rais-Utumishi yazungumzia kuhusu Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa umma

Mtangazaji wa kipindi cha Rushwa ni Adui wa Haki Bi. Miriam Chisoro (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Mathew Kirama (kulia) wakati  wakijadili mada kuhusu Ahadi ya Uadilifu  kwa watumishi wa umma ofisini kwa mkurugenzi huyo.

Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi  wa Umma Bw. Mathew Kirama (kulia) akisisitiza umuhimu wa utekelezaji wa Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa umma wakati wakijadili mada hiyo na Mtangazaji  wa kipindi cha Rushwa ni Adui wa Haki Bi.Miriam Chisoro (kushoto) ofisini kwa mkurugenzi huyo. 

Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi  wa Umma Bw. Mathew Kirama (kulia) akitoa ufafanuzi kuhusu umuhimu wa utekelezaji wa Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa umma wakati wakijadili mada hiyo na Mtangazaji  wa kipindi cha Rushwa ni Adui wa Haki Bi.Miriam Chisoro ofisini kwa mkurugenzi huyo.