Thursday, February 25, 2016
Tuesday, February 23, 2016
UTUMISHI YAENDELEA KUTOA MAFUNZO YA MFUMO SHIRIKISHI WA TAARIFA ZA KIUTUMISHI NA MISHAHARA (HCMIS VERSION 9) KWA MAAFISA UTUMISHI WA WILAYA,MIKOA NA TAASISI ZA SERIKALI
Afisa Utumishi kutoka Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw.Philemon Mbaga akitoa mafunzo kwa maafisa utumishi kutoka Taasisi 13 za Serikali na Halmashauri za Wilaya 6 nchini katika ukumbi wa Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA). |
Ofisi ya Rais-UTUMISHI yaendelea na Vikao kazi kwa Njia ya Video (Video Conference)
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Laurean Ndumbaro (picha ndogo kulia) akiongoza kikao kazi kwa njia ya video kilichohusisha Ofisi ya Rais-Utumishi,Ofisi ya Rais- TAMISEMI,Wizara ya Fedha,Wizara ya Viwanda, Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), Shirika la Viwango Tanzania (TBS) pamoja na ofisi za Sekretarieti za mikoa ya Iringa, Pwani, Mtwara, Dar es Salaam, Kagera,Kigoma. |
Mkurugenzi Msaidizi kutoka Idara ya Ushauri na Uchambuzi Kazi Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi.Sakina Mwinyimkuu (kushoto) akiwasilisha mada kuhusu Uimarishaji wa Mfumo wa Ufuatiliaji na Tathmini Serikalini kwenye kikao kazi kwa njia ya video kilichofanyika ukumbi wa Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA). |
Washiriki wa kikao kazi kwa njia ya video wakimsikiliza mtoa mada. |
Monday, February 22, 2016
Waziri Kairuki amsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akitoa taarifa kwa
vyombo vya habari kuhusu hatua ya kumsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Chuo cha
Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) pamoja na
wakuu wa matawi ya chuo hicho ya Dar es salaam na Tabora.
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akitoa taarifa kwa
vyombo vya habari ofisini kwake kuhusu hatua ya kumsimamisha kazi Mtendaji Mkuu
wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Dkt.Said Nassoro. Kushoto kwake ni
Katibu Mkuu Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro, akifuatiwa na Naibu Katibu
Mkuu-Utumishi Bi. Suzan Mlawi, kulia ni Menejimenti ya TPSC.
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akitoa taarifa kwa
vyombo vya habari ofisini kwake kuhusu hatua ya kumsimamisha kazi Mtendaji Mkuu
wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Dkt.Said Nasoro (wa pili kutoka
kushoto mbele) pamoja na wakuu wa matawi
ya chuo hicho ya Dar es salaam na Tabora.
|
Wednesday, February 17, 2016
UTUMISHI YAPOKEA WATAALAM WATANO WA KUJITOLEA KUTOKA NCHINI JAPAN
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Mathias Kabunduguru (katikati) akizungumza na Wataalam wa Kujitolea kutoka nchini Japan waliokuja kutoa huduma katika sekta ya viwanda,elimu na afya waliporipoti ofisi za Utumishi. |
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Mathias Kabunduguru (katikati mstari wa mbele) katika picha ya pamoja na Wataalam wa Kujitolea kutoka nchini Japan waliokuja kutoa huduma katika sekta ya viwanda,elimu na afya |
Thursday, February 11, 2016
Balozi wa Korea nchini akutana na Mhe. Kairuki
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kulia) akimsikiliza Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Bw. Song, Geum-young alipomtembelea ofisini kwake. |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
– Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kulia) akizungumza na Balozi
wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Bw. Song, Geum-young alipomtembelea ofisini
kwake .
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kulia) akizungumza
na ujumbe kutoka ubalozi wa Korea nchini ulipomtembelea ofisini kwake.
|
Wednesday, February 10, 2016
MHE. KAIRUKI ATEMBELEA MKURABITA
Baadhi ya waandishi wa habari na watumishi wa MKURABITA wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (hayupo pichani) alipoitembelea ofisi hiyo |
Mratibu wa Mpango MKURABITA Bi. Seraphia R. Mgembe (kushoto) akielezea majukumu ya ofisi yake kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) alipoitembelea ofisi hiyo |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (katikati) akisisitiza uwajibikaji kwa watumishi wa MKURABITA alipoitembelea ofisi hiyo |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akiwa katika kikao na watumishi wa MKURABITA alipoitembelea ofisi hiyo . Wengine ni waandishi wa habari walioudhuria katika tukio hilo |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kulia) akizungumza na watumishi wa MKURABITA alipoitembelea ofisi hiyo |
Thursday, February 4, 2016
Wednesday, February 3, 2016
Tuesday, February 2, 2016
Monday, February 1, 2016
Katibu Mkuu-Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro atembelea Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa
Baadhi ya Watumishi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa wakimsikiliza Katibu Mkuu-Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) katika kikao kilichofanyika ofisini hapo.
|
Subscribe to:
Posts (Atom)