Thursday, April 25, 2019
Thursday, April 18, 2019
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YAPATA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2019
Mkurugenzi wa Idara ya
Mipango, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw.
Cosmas Ngangaji akiwa tayari kuwasilisha kura yake baada ya uchaguzi wa
mfanyakazi bora wa ofisi hiyo uliofanyika jijini Dodoma. Kulia kwake ni Mhasibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw Ayoub Banzi na kushoto kwake ni Kaimu Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Bi. Mary Mwakapenda.
|
Monday, April 15, 2019
UTUMISHI YAANZA KUTOA HUDUMA KATIKA MJI WA SERIKALI JIJINI DODOMA
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro,
akifurahia jambo na wasaidizi wake baada ya ofisi yake kuanza kutoa huduma
kwenye Mji wa Serikali ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli wakati akizindua ofisi za
Wizara zilizojengwa katika mji huo kwa ajili ya kutoa huduma kwa wananchi.
|
Thursday, April 11, 2019
MHE. MKUCHIKA AWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA WA FEDHA 2019/20
WAHITIMU WA MAFUNZO YA UONGOZI WATAKIWA KUTUMIA VIZURI UJUZI WALIOUPATA ILI KUONGEZA UFANISI KATIKA UTENDAJI KAZI
Mkuu wa Taasisi ya
Uongozi, Prof. Joseph Semboja akimkaribisha Naibu Waziri, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb)
kuzungumza na wahitimu wa mafunzo ya Stashahada ya Juu ya Masuala ya Uongozi katika ukumbi wa Mlimani
City jijini Dar es Salaam
|
Subscribe to:
Posts (Atom)