Friday, August 31, 2018
Monday, August 27, 2018
WANUFAIKA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI MKOANI KILIMANJARO WATAKIWA KUTUMIA VIZURI FEDHA ZA RUZUKU ILI KUBORESHA MAISHA YAO
Baadhi ya
wananchi na wanufaika wa fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika kijiji
cha Kileo wilayani Mwanga wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb)
(hayupo pichani) katika siku ya kwanza ya ziara ya kikazi ya waziri huyo mkoani
Kilimanjaro, yenye lengo la kufanya ufuatiliaji wa maendeleo ya utekelezaji wa
Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini.
|
Sunday, August 19, 2018
MHE. MKUCHIKA AKUTANA NA FAMILIA YA ALIYEKUWA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAREHEMU DKT. OMAR ALI JUMA
Saturday, August 18, 2018
VIONGOZI NA WATUMISHI NCHINI WAKUMBUSHWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA KUTANGULIZA MBELE MOYO WA UZALENDO NA MASILAHI YA TAIFA
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Mghwira akitoa neno la shukrani baada ya
kuhitimu kozi
fupi ya tano ya Viongozi katika
Chuo cha Taifa cha Ulinzi, jijini Dar es Salaam.
|
Friday, August 17, 2018
MHE. MKUCHIKA AWATEMBELEA BAADHI YA VIONGOZI WAKUU WASTAAFU IKIWA NI SEHEMU YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAKE
Tuesday, August 14, 2018
Saturday, August 11, 2018
Tuesday, August 7, 2018
Sunday, August 5, 2018
SERIKALI YAFANYA UTEUZI WA BAADHI YA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA
Subscribe to:
Posts (Atom)