Maofisa wa Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakiwa katika kikao kazi kwa njia ya video
(Video Conference) kati ya Utumishi na mikoa ya Mtwara,Lindi, Kilimanjaro na
Dodoma. Uendeshaji wa vikao kwa njia ya mtandao umepunguza gharama na muda
uliokuwa unatumika kusafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
|