Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Manejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Kapt. (Msaafu) George Huruma Mkuchika (Mb) akizungumza wakati wa
Mahafali ya 28 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania yaliyofanyika katika
Kampasi ya Mbeya.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George
Huruma Mkuchika (Mb) akitoa ahadi Bungeni ya kutatua changamoto ya
ucheleweshwaji wa mafao ya wastaafu wakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na
Matumizi ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021.