Tuesday, May 16, 2017

TAARIFA KWA UMMMA


Ikiwa ni wiki ya kina mama, tunasema HONGERA, Dkt. Edith Rwiza, mmoja wa watalaam wa ukurasa huu

Bi. Edith Rwiza akitunukiwa Shahada ya Uzamivu -PhD katika Chuo Kikuu cha Forte Hare-Afrika Kusini. 
Dkt. Edith Rwiza baada ya kupokea Shahada ya Uzamivu -PhD katika Chuo Kikuu cha Forte Hare-Afrika Kusini


Dkt. Edith Rwiza baada ya kupokea Shahada ya Uzamivu -PhD katika Chuo Kikuu cha Forte Hare-Afrika Kusini.

Dkt. Edith Rwiza baada ya kupokea Shahada ya Uzamivu -PhD katika Chuo Kikuu cha Forte Hare-Afrika Kusini.

Thursday, May 11, 2017

Wednesday, May 3, 2017

SERIKALI YATOA UFAFANUZI KUHUSU UTEKELEZAJI WA UAMUZI WAKE KUFUATIA UH...

SERIKALI YAWAPOKEA WATAALAM WATANO WA KUJITOLEA KUTOKA JAPANI WALIOKUJA KUTOA HUDUMA NCHINI

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi akizungumza na Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini wakati wa hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam hao iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi leo.

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi akiwa katika picha ya pamoja na Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini.

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi akizungumza na Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo Japani (JICA) nchini, Bw. Toshio Nagase mara baada ya hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini

Tuesday, May 2, 2017