Tuesday, August 19, 2014

SERIKALI YAMUAGA MWAKILISHI MKAZI MWANDAMIZI WA JICA

 Naibu Katibu Mkuu - Utumishi Bw.HAB Mkwizu (kushoto) akiongea katika hafla fupi ya kumuaga Mwakilishi Mkazi Mwandamizi wa JICA Bw. Hajime Iwama ambaye kamaliza muda wa kufanya kazi hapa nchini katika ukumbi wa Ofisi ya Rais-Utumishi.  


Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu (kushoto) akimkabidhi zawadi Mwakilishi Mkazi Mwandamizi wa JICA  Bw. Hajime Iwana ambaye amemaliza  muda wake wa kazi hapa nchini katika hafla fupi ya kumuaga iliyofanyika Ofisi ya Rais - Utumishi. 
PICHA YA PAMOJA: Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu (wa pili kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkazi Mwandamizi wa JICA Bw. Hajime Iwama (wa kwanza kulia) ambaye kamaliza muda wa kufanya kazi hapa nchini. Wengine na maofisa kutoka Ofisi ya Rais-Utumishi na JICA.